Episode 1 Iran Vs Saudi arabia

Esplicito Episode 1 Iran Vs Saudi arabia

0 0 4 mesi fa
Hivi karibuni Saudi Arabia ililipuliwa kituo chake cha kuhifadhia mafuta na silaha iliyotumika inasemekana inatoka Iran. Kwenye mlipuko hui umesababisha hasara na mataifa kama ya marekani kuonesha hasira za wazi wazi kwa Irani Leo father Monduli amejaribu kuliongeleo hill suala na hasara gani Saudi Arabia imeisababishia Yemen kwa kipindi cha miaka 4. Lakini pia nini ambacho Iran yenyewe imesema kwa kukanusha kuhusika na shambulio hilo

Seguici su Facebook

iAB member
Copyright 2020 - Spreaker Inc. a Voxnest Company - Crea un podcast - New York, NY
Aiuto